Ndugu mhariri,
Tunatanguliza shukrani zetu kwa ushirikiano wako kupitia mtandao wako mahiri wa kijamii.
Pamoja na barua pepe hii, nimeambatanisha taarifa kwa vyombo vya habari kuhusiana na tatizo la wabunge kucheleweshewa vitabu vya makadirio ya bajeti hali inayowafanya kushindwa kupitia na kuichambua kwa kina kabla ya majadiliano. Tatizo hili husababisha kusahaulika kwa mambo mengi ya vipau mbele kwa umma katika bajeti.
Ni matarajio yetu kuwa taarifa hii itapewa umuhimu kwa kuiweka katika mtandao wako mashuhuri wa kijamiii hapa nchini.
Natanguliza shukrani za dhati.
Regards,
Thomas Ludovick
Assistant Media Specialist
Media and Communication Department
Sikika
P. O. Box 12183,
Dar es Salaam.
Tel +255 222 666355/57
Fax +255 222 668015
Mobile 0713 354865
Email: thomas@sikika.or.tz
Quality health services for all Tanzanians
0 Comments