[wanabidii] TRA Quality Plaza mnaboa

Thursday, April 03, 2014

Hivi hawa jamaa wa TRA wakoje? Umeme umekatika hapa kwenye ofisi zao za Quality Plaza kwa zaidi ya saa moja. Nashangaa kama hakuna standby generator make sie tunataka kulipa.
Nashindwa kuamini kama kweli hakuna jenereta. Nchi hii watu hatujali muda wa wengine.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments