[wanabidii] shell available

Friday, April 04, 2014
Ndg zangu wapendwa, hv karibuni tumepata tender ya kusaka sheli za kuuza au kupanga au kujenge yaani eneo lenye kibali......tumeletewa sheli hadi zimezidi mteja aliitaji 2 tu lakini zimekuja kumi, naomba mnisaidie kwa yeyete mwenye mtu/rafiki/mteja/mhitaji amlengeshe kwangu, napatikana ofsn kwetu sinza mori kuanzia saa 4 hadi 12 kila siku ispokua jumapili
Hivyo hivyo kwa yard
kama kawaida nyumba zipo kibao hadi za kulipakidogo kidogo maeneo yote kuanzia makongo juu, bunju, kimara, mbezi beach, sinzaupanga, mikocheni,tabata,kibambambezi luis, mbweni,ukonga, Arusha na mwz
plot nazo mmmh zipo hadi za eka kwa mil 2.5 jamani
changamkeni wkt ni huu
rockland real r#estate is here to serve you
call me 0652 314181

Share this :

Related Posts

0 Comments