[wanabidii] RASIMU YA KATIBA HAINA SURA INAYOHUSU ARDHI

Friday, April 04, 2014

RASIMU YA KATIBA HAINA SURA INAYOHUSU ARDHI;

Kwa kuwa jambo hili li wazi, wajumbe wengi wanakubaliana kuwa panahitajika sura mpya itakayoongelea ARDHI.

Ieleweke kuwa zaidi ya asilimia sabini ya watanzania wanategemea Kilimo.
Lakini tutakapoiongeza sura hiyo itagusa kwa kina masuala ya rasilimali zote zilizomo ardhini na juu ya ardhi.

Katiba itaweka misingi mikubwa ya mgawanyo wa faida ya rasilimali na maliasili zote. Baada ya hapo zitatungwa sheria za kulinda mazao ya ardhi, bahari n.k.

Kwa kuwa jambo hili ni muhimu sana natumaini kuwa hapatakuwa na itikadi. Kila mmoja ataliunga mkono. Na binafsi nitawashangaa wajumbe watakaopinga sura MPYA ya ARDHI kuingizwa ktk rasimu ya katiba.



Julius S. Mtatiro

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments