[wanabidii] KWA WALE WANAOTAKA/FIKIRIA KUOWA

Tuesday, April 08, 2014

Ukitaka majungu oa Mhaya,

Ukitaka mapenzi ya ujanja ujanja na uwizi wa mfukoni oa Mchaga,

Ukitaka uchawi oa Mfipa,

Ukitaka maneno oa Mzenji,

Ukitaka mapishi oa Mtanga,

Ukitaka Mume mwenza oa Mzaramo,

Ukiwa na shamba oa Msukuma,

Ukitaka mapenzi ya kuona aibu oa Mhehe,

Ukitaka kubana matumizi oa Mpare,

Ukitaka kisukari oa Mwarabu mara tende mara halua,

Ukitaka kujimix oa Mkerewe au Mjita, na

Kama unataka kuwachanganya mtu na dada yake oa Mrangi,

Ukitaka kubishana oa Mnyirmba,

Ukitaja kupigana oa Mkuryaa,

Ukitaka kuzaa sana oa Muha,

Ukitaka kubembelezwa na kudanganywa oa Mnyamwezi...

Hii ni kwa wale Wasela.

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments