[wanabidii] Wanajeshi wa JWTZ wavamia na kuaribu mshamba na makazi ya watu KIMBIJI

Sunday, March 23, 2014


Breaking News ! Breaking News !!!

WANAJESHI WA JWTZ WAVAMIA NA KUHARIBU MAKAZI NA MAZAO YA RAIA ENEO LA KIMBIJI,WILAYA TEMEKE,DAR-ES-SALAM

Kikosi Kimoja cha Jeshi la Wananchi JWTZ jiji Dar-es-salaam ,kimevamia maeneo ya wananchi na kuvunja makazi na kufanya uHaribifu mkubwa katika huko eneo la Kimbiji,Wilaya ya Temeke,Mkoani Dar-es-salaam,
hali hiyo ya mashaka imewaacha wananchi kuishi kwa mashaka bila ya kujua hatma ya masiha yao. Wenyeji wa Kimbiji ambao wanamiliki maeneo yao na ni wakazi wa asili maeneo hayo wamekuwa wakipata usumbufu na vitisho vya wanajeshi wenye nia ya kuwanyang'anya Ardhi kwa kutumia kufia za jeshi.
kwa maelezo zaidi wasiliana na Diwani simu 0713768082  au Mwenyekiti 0713846688


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments