[wanabidii] TAHADHARI - UJUMBE WA LAURIEN WINDSOR NA BOMU NCHINI

Saturday, March 15, 2014

Ndugu zangu ,


Kuna mtu anayetambulika kwa jina la Laurien Windsor mwenye barua pepe LaurienWindsor@gmail.com , ametuma kwa mtu email kwamba Uchina wana bomu la Nuklia nchini Tanzania na kwamba anataka mawasiliano ya watu kadhaa .


Imegundulika ujumbe huo ni batili na ni wa kitapeli .


Mtu huyu aliwahi kuandika ujumbe kama huu kitambo wa Nuke inside the US? Na alishtukiwa angalia anuani hii http://newsgroups.derkeiler.com/Archive/Soc/soc.culture.vietnamese/2014-02/msg00688.html - tuwe makini tunapopata ujumbe kama huu na unaweza kuwasiliana na ofisa wa usalama kama ni polisi au wowote aliyepo karibu na wewe kuhusu vitu kama hivi vya uwongo , propaganda na vya kutishana .


--

Yona Fares Maro

Institut d'études de sécurité - SA


--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments