Makamu mwenyekiti wa CCM Zanzibar ambaye pia ni Rais wa Zanzibar Dr. Ali Mohamed Shein akiongoza kikao maalum cha kamati Kuu ya CCM kilichomjadili ili kumpitisha mgombea Uchaguzi kwa tiketi ya CCM jimbo la Chalinze Bwana Ridhiwani Kikwete.Mwenyekiti wa CCM Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete alitoka nje kwa mujibu wa kanuni za CCM wakati wa kikao hicho kwasababu ana uhusiano wa moja kwa moja na mgombea.Bwana Ridhiwani Kikwete alishinda kura za maoni wiki iliyopita na hivyo kumpa nafasi ya kupeperusha bendera ya CCM kwenye kinyang'anyiro hicho kufuatia kifo cha aliyekuwa mbunge wa jimbo la Chalinze Marehemu Saidi Bwanamdogo.Kulia ni Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM) Ndugu Abdulrahman Kinana.
Baadhi ya wajumbe wa Kamati kuu ya CCM wakiwa katika kikao maalum mjini Dodoma leo (picha na Freddy Maro). --
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/d/optout.
Share this :
0 Comments