[wanabidii] Fw: Project ya vifaa afya Marekani

Monday, March 10, 2014
 
Benn Haidari
Klintvägen 16 C 36
22100 Mariehamn
Åland
Suomi-Finland
Author of Modern Zanzibar Cuisine
Tel/Home: +358.18.13665
Mobile: +358.457.3424826


On , Haidari BENN <benntz@yahoo.co.uk> wrote:


Assallam Allykuim , Nina imani kabisa unaendelea katika maisha ya kawaida pamoja na familia zenu huko mliko napenda kutanguliza shurkani za dhati kwa mola nipo katika hali ya afya hapa Washington State


Zingatia email yangu iliyopita kuhusu masuala ya vifaa vya afya kama nilivyoweza kuambatanisha hapo juu katika kiungo , Kwanza nataka kuchukua fursa hii kutoa maelezo kidogo kuhusu Mradi huu Jumuia ya Push International iliyopo katika jimbo la Washington State inatoa huduma za vifaa vya walemavu zaidi huko Mexico kwa sasa moja katika kazi kusaidia sekta hiyo na pia inaweza kupata vifaa vya afya kutoka katika Hospital mbali mbali nilichukua hatua za lazima kuanzisha uhusiano wa karibu na Rais wa jumuia hiyo Mr Jeff lair na kuweza kunipa msaada wa vifaa vya afya  katika hatua ya kwanza 2011 katika na kukubaliana mengine ambayo suala la kupata vifaa vyengine kwa gharama nafuu kama msaada kusaidia huko Zanzibar Tanzania na jumuia yake kusaidia vifaa vya walemavu kama wheel chairs

Kutokana na list ambayo imejionesha katika kiungo cha hapo juu mimi nipo mbioni kupata wafadhili mbali mbali ambao wanaweza kugharamia suala hili ili kuweza kufanikisha vifaa vya walemavu vinapatikana na wheel nyengine kutumika katika hospital zetu , Nimeona nichukue hatua ya kukutumia suala hili na kuweza kujadiliana njia gani nzuri za kufanya kazi kwa pamoja naomba nipate mchango wako katika kusaidia Mataifa yetu huko barani Africa , Napenda kuwakilisha hoja kwako Alhabibi na pia unaweza kuwasiliana Mr Jeff lair katika anuwani zake hapo juu kwa uthibitisho zaidi

Natarajia mashirikiano Mema kutoka kwako na majibu mazuri

Wako Mwanaharakati masuala ya kijamii















Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments