Nipo Chalinze, nasikitishwa sana na viongozi wa chama hapa wanaposema kuwa hatuwezi tukapoteza rasilimali zetu kwenye uchaguzi huu kwasababu eti lazima Ridhiwani atashinda. Makao makuu wamekataa kuwekeza kwenye uchaguzi huu kwasababu tu eti mbowe haamini kama chadema itashinda hapa.
Inauma sana inakuwaje jamani wanachalinze tunapuuzwa? au kwasababu sio kaskazini? Mbona ufunguzi wa kampeni za nasari ulirushwa live na ma TV? Wanachalinze tumewakosea nini chadema mpaka mtunyime hata chopa moja tuuu?
Mwenyekiti wangu Freeman Aikaeli Mbowe kwa hali hii mnawanyong'onyesha wagombea wetu. Inakera nainaumiza sana kwa mwendo huu ccm itatoka kweli? Au ni kweli yanayosemwa kuwa ushalipwa huna shida tena na sisi na jimbo letu?
-- Inauma sana inakuwaje jamani wanachalinze tunapuuzwa? au kwasababu sio kaskazini? Mbona ufunguzi wa kampeni za nasari ulirushwa live na ma TV? Wanachalinze tumewakosea nini chadema mpaka mtunyime hata chopa moja tuuu?
Mwenyekiti wangu Freeman Aikaeli Mbowe kwa hali hii mnawanyong'onyesha wagombea wetu. Inakera nainaumiza sana kwa mwendo huu ccm itatoka kweli? Au ni kweli yanayosemwa kuwa ushalipwa huna shida tena na sisi na jimbo letu?
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments