Practically Kikwete asked those who wish to have three tier govts to consider ways to strengthen Union government from the present form in the Rasimu. And the only way is to give Union Government, political and economic power over the Tanganyika and Zanzibar governments, and for that to happen, Zanzibar and Tanganyika should just be
-- reduced to be big Majimbo! which is true solution for Tanzania after over 50 years of independence.
As a matter of fact, Chadema sera ya Majimbo is perfect solution for current Tanzania, I just wonder why they felt shy of this sera!! I would simply aggregate Unguja, Pemba, Dar es salaam, Lindi, Mtwara and Pwani - 1. Coastal region , Tanga, Kilimanjara, Arusha, Manyara, Singida - 2. North region, Ruvuma, Mbeya, Iringi, .....Highland region, ........
Anyway, Kikwete, to some extent has done considerably well in sense of providing a direction to CA without seen dictating to them...
.
2014-03-22 17:34 GMT+01:00 ngupula <ngupula@yahoo.co.uk>:
Binafsi katika hili la kuhusu muungano nampongeza rais kikwete..kwa nafsi yake ameonyesha njia na pia hajawa mnafiki kwa kutotetea anachokiamini...mimi binafsi sipendi hata kidogo jinsi muungano unavyoendeshwa. Sioni mantic yeyote kwa nchi mbili kuungana halafu zikamaintain identity zao..labda huo si muungano bali ni shirikisho. Muungano is all about sacrifice..serikali mbili sio mwafaka lakini ina nafuu sana kuliko serikali tatu. Nahisi serikali 3 ina changamoto nyingi kuliko mbili. Ni aheri kushughulikia changamoto hizi ndani ya serikali mbili kuliko kuanzisha serikal nyingine labda tuwe hatuutaki muungano na tuna lengo la kuuvunja kiaina. kwa mfano...serikali ya muungano yenye wizara 15 nusu ya mawaziri wake watoke zanzibar basi kwa hakika hao wote watakuwa waislam.. Na katika hao saba wanaotoka bara...tuseme watatu ni waislam na wanne ni wakristo...hivyo basi katika mawaziri 15 wa muungano...10 au 11 watakuwa waislam..hivyo basi ikitokea raisi wa muungano atokee zanzibar...na waziri mkuu wa tanganyika awe muislam basi serikali yote ya muungano kwa 70 to 80% itakuwa imeelemea zaidi kwa waislam..tumeona shida iliyotokea kwa tume ya kukusanya maoni ilipokuwa na wajumbe zaidi ya 70% waislam..serikali ya muungano ya jinsi hiyo ikifanya vyema itasimama lakini ikivurunda ni dhahir itazua migogoro isiyotibika. Ngupula.
Heri Rashid <herirashid@yahoo.com> wrote:
Kwa mtazamo wako Magere, rais amewaunganisha wabunge au amewagawanya kila moja na mtazamo wake.
Rejea maneno ya jaji mstafu Mh. Agustino Ramadhani aliyoyasema mara baada ya kushukuru kuwasiloshwa kwa tasimu bungeni.
Pamoja na kupishana itikadi ya vyama wakati wa kuandaa rasimu hawakupiga kura kuamua. Walikubaliana kimsingi kwa hoja na si kwa wingi wa watu. Jaji akawataka wakubaliane kihoja na c kukimbilia kupiga kura.
Cha kushangaza ili kuwaweka wajumbe wabunge hili wawe pamoja ahamasishe hoja na c ubigaji kura, anakuwa kinyume.
Tukaechini tufikirie, kugawanya watu kwa hoja za itikadi za vyama vyao kutaimarisha muungano?
Sent from Huawei Mobile
Johale Magere <johale14@gmail.com> wrote:Magiri,chuki binafsi na kunywa maji ya bendera vinakupa upofu wa kutoona japo mwanga wa kandili katka kiza kinene.
Magere J.
On Mar 21, 2014 8:37 PM, "Magiri paul" <kiganyi@gmail.com> wrote:Kitendo cha kuvunja kanuni na kujifanya ati leo wanazindua Bunge kumbe ni janja ya nyani kujibu alichosema mwenyekiti wa tume kunanifanya kujiuliza ilikuwepo haja gani ya kuharibu rasilimali fedha na muda kuunda tume hii.
Rais amejaribu kuvua kofia ya chama kwa kusingizia kuwa "wapo wanaosema..." Huu ni usanii wa hali ya juu.
Rais na chama wajue tu kuwa huu ujanja kupinda kanuni ili Waryoba ahutubu bungeni halafu aje kuigilizia au kujibu mapigo kwa tume si tu unafiki bali udhaifu wa hali ya juu.
Dau dogo huambaa mwambao, kubwa huenda kwenye kilindi.
On Mar 21, 2014 6:31 PM, <magesa@hotmail.com> wrote:--
Nachukua nafasi hii kumpongeza Mhe. Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa hotuba nzuri na iliyojaa hekima na busara kwenye uzinduzi wa Bunge maalumu la Katiba.
Kimsingi amewataka wajumbe kuwa makini na kutafakari kila kifungu cha rasimu ya katiba ili watuletee katiba bora itakayoweza kutekelezeka.
Kuhusu muundo wa Serikali amesema tuna uwezo wa kufanya mabadiliko yoyote bila kuhitaji 3.
Watanzania tuna haja ya kutafakari kwa kina na kuamua mustakabali wa nchi yetu.
Mimi ni muumini wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, naamimi kabisa tuna uwezo wa kupambana na changamoto zote zinazojitokeza bila kuongeza gharama za uendeshaji wa serikali yetu kwa kuunda Serikali ya 3.
Tujiulize yaliyowakuta wenzetu Warusi baada ya kuunda Serikali ya Russia, Muungano wao wa USSR ulivunjika na sasa wanatumia gharama nyingi kurudisha shirikiksho hilo na kuzishikilia baadhi ya nchi hizo.
Tutafakari na tufanye maamuzi kwa faida ya Taifa letu, tuachane na hisia za utaifa wa Utanganyika na Uzanzibari madhara yake ni makubwa na tutangeneza dhambi na adhabu yake tutaipata hapa hapa.
Mungu ibariki Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Phares Magesa.
Sent from my BlackBerry® smartphone provided by Airtel Tanzania.
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any leg --

0 Comments