Ninawapongeza UKAWA kwa uamuzi wa busara. Haiwezekani watu wenye akili timamu wakabariki kuvaa suruali kabla ya kuvaa nguo ya ndani. Jamani kweli wote tuburuzwe na umbumbu utokanao na wingi wa watu fulani bungeni.
Ninaandika wakati kipindi cha datkia 45 kikiendelea. Unashangaa. Naomba Mungu atusaidie watu wa nchi za Nje wasiwe wanakiangalia. Uwe utumbo wetu tu (aibu za ndani).
narudia. Haya ni maandalizi kwa waTanzania kujiandaa kutengeneza katiba yao baada ya uchaguzi wa 2015. Hakuna dalili za kupata katiba ya watanzania.
On Monday, March 17, 2014 5:17 PM, Mabadiliko Forum <info@mabadiliko.com> wrote:
A new topic has been created on the Mabadiliko Forum
Message Subject : SITTA AHAIRISHA BUNGE LA KATIBA BAADA YA VURUGU MCHANA HUU
Category : Katiba Mpya
Posted by : Frederick Katulanda
URL : http://www.mabadiliko.com/index.php/forum/katiba-mpya/500-sitta-ahairisha-bunge-la-katiba-baada-ya-vurugu-mchana-huu/1842
Message :
-----
UMOJA wa unaodai Katiba ya Wananchi (UKAWA), unaoundwa na Wajumbe wa Bunge Maalum wanaotokana na vyama vya CHADEMA, CUF, NCCR Mageuzi, DP, UDP, CHAUSTA, CHAUMA, NRA, NLD na CCK; pamoja na wajumbe walioteuliwa kutokana na makundi yaliyotajwa katika kifungu cha 22(1)(c) cha Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, umeonya kutokea vurugu bungeni ikiwa Samwel Sitta atamruhusu Jaji Joseph Warioba kuwasilisha Rasimu ya Pili ya Katiba kabla ya Rais Jakaya Kikwete kuhutubia bunge hilo.
Katika taarifa waliyoitoa kwa vyombo vya habari mchana huu, UKAWA unasema pamoja na mengine, hawako tayari kuona yafuatayo yanafanyika ndani ya Ukumbi wa Bunge Maalum:
1. Jaji Warioba anawasilisha Rasimu kabla ya hotuba ya ufunguzi wa Bunge Maalum na Rais wa Jamhuri ya Muungano au Rais wa Zanzibar;
2. Semina yoyote itakayoongozwa na wataalamu wa ndani au nje kama alivyolitangazia Bunge Maalum.
3. Hotuba ya Mgeni Rasmi endapo itafuatia uwasilishaji wa Rasimu ya Katiba.
4. Lolote lingine ambalo ni kinyume na kanuni za Bunge.
Tayari muda huu wajumbe wamezomea na kugonga mess bila ya Kokomo wakimtaka Warioba asiongee hatua ambayo imemlazimu Mwenyekiti Sita kulihairisha Bunge hilo hadi hapo itakapotangazwa.
-----
You are getting this notification because of you have subscribed into category. Please visit the category to unsubscribe.
Please note that you will not receive any further email notifications for this topic unless you subscribe into it.
Do not answer to this e-mail notification as it is a generated e-mail.

0 Comments