Tanzania ina watu wa ajabu sana. Kumbe eneo la utalii lina mambo mengi ya kutangaza. Hata kuwaalika watalii kuja kuona watu kama jamaa huyu. Yaani maneno yote aliyoeleza Warioba, mpaka watu waliokuwa nje ya Bunge wanasema tumeelewa makusudi ya tume lakini mtu tena anayesemekana anataka kuwaomba watanzania wamchague kuwa Rais yeye alisikia Warioba 'anaorodhesha matatizo ya ndoa' Na wala hakusikia akipendekeza dawa ya matatizo hayo ila kuwa tuongeze mke. Serikali ni Mke wa nani?
Shida kweli. Ujinga huu unaweza ukakuta watu wanamchagua siku nyingine. Shida tupu jamani
On Wednesday, March 19, 2014 6:39 AM, Mabadiliko Forum <info@mabadiliko.com> wrote:
A new topic has been created on the Mabadiliko Forum
Message Subject : JANUARY MAKAMBA ALONGA BAADA YA HOTUBA YA JAJI WARIOBA
Category : Katiba Mpya
Posted by : Frederick Katulanda
URL : http://www.mabadiliko.com/index.php/forum/katiba-mpya/505-january-makamba-alonga-baada-ya-hotuba-ya-jaji-warioba/1856
Message :
-----
Kilichofanyika Bungeni leo ni kuorodhesha matatizo ya ndoa (ambayo ni ya kweli) halafu kisha kusema kwamba kuongeza mke ndio jawabu lake.
Tweety ya Januaary Makamba kuhusu Hotuba ya Warioba
-----
You are getting this notification because of you have subscribed into category. Please visit the category to unsubscribe.
Please note that you will not receive any further email notifications for this topic unless you subscribe into it.
Do not answer to this e-mail notification as it is a generated e-mail.

0 Comments