BURIANI RC-MARA, JOHN TUPPA.
Na Happiness Katabazi
MKUU wa Mkoa wa Mara, John TUPPA amefariki ghafla HIvi PUNDE mkoani humo.
KIfo hiki ni pigo kwa taifa, Mkoa wa Mara.Utakumbukwa na familia yako na watu tuliyokuwa tukikufahamu akiwemo rafiki yako Mpenzi ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini, Gembe. Hakika mchango wako wa kulitumikia taifa hautasaulika.
Bwana alitoa na Bwana Amekataa, jina la Bwana liimidiwe.
--
Yona Fares Maro
-- Na Happiness Katabazi
MKUU wa Mkoa wa Mara, John TUPPA amefariki ghafla HIvi PUNDE mkoani humo.
KIfo hiki ni pigo kwa taifa, Mkoa wa Mara.Utakumbukwa na familia yako na watu tuliyokuwa tukikufahamu akiwemo rafiki yako Mpenzi ambaye ni Mkuu wa Wilaya ya Dodoma Mjini, Gembe. Hakika mchango wako wa kulitumikia taifa hautasaulika.
Bwana alitoa na Bwana Amekataa, jina la Bwana liimidiwe.
Institut d'études de sécurité - SA
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments