[wanabidii] Barbershop girls - tishio ndani ya ndoa

Friday, March 07, 2014
Mwanzo ilikuwa ni vita na wahudumu wa bar. Wanawake walio kwenye ndoa waliishi kwa hofu ya ndoa zao kuingiliwa na wadada warembo wanaovaa nusu uchi kweye bars zilizopo karibu kila sehemu ya Dar es Salaam. Lakini sasa, mambo yamehamia kwenye babaershops/ salon za kiume.

Nadhani kila mtu anajua babershop ni nini, na pia anajua barbershop za siku hizi sio kukata nywele peke yake,bali inajumuisha angalau lisaa limoja la kufanyiwa scrub, massage, manicure, pedicure etc.

Tunajua wasichana hao wakati wa kutoa huduma hawawezi kuepuka kugusa wateja wao so gently usoni wakati wa kufanya scrub na massage. huduma wakati mwingine huenda zaidi ya huduma za kinyozi , wakati mwingine wateja wanauliza kukutana na wasichana hawa baada ya saa za kazi. " Wakati mwingine wasichana hulipwa fedha za ziada kwa kisingizio cha kuthamini huduma waliyotoa.

Barbershops nyingi zimegeuka kuwa mahala pa biashara ya ngono. Wanaume hawana muda tena na wahudumu wa baa, na hii ni tishio kwa ndoa nyingi hapa mjini.

Je unalo la kusema kuhusu hili? Karibu tujadiliane!

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments