Habari jamani. Ninaandika ujumbe huu kwa kuomba msaada. Mtanzania mwenzetu amefariki in Madison Wisconsin-USA, wanatafutwa ndugu zake. Ni mtu wa Tanga Michael Agustine Lukindo. Alikuja USA miaka mingi iliyopita, inasemekana zaidi ya mika thelathini. Ameacha mke (African American) na watoto wanne, mkubwa alizaliwa 1989 familia yake haijui ndugu za Michael. Mazishi yatafanyika Jumamosi, ila mwili utachomwa. Kama unafununu au kujua lolote kuhusiana na ndugu yetu huyu unijulishe. Lengo nikuweza kuwafahamisha ndugu zake nyumbani Tanzania. Asante kwa ushirikiano wako.
--Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la ‘Mabadiliko’.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAC1jnjfgyyCAoi%3Dw%3D5GDkz6mJgyrEkr47Qx_inTSw3m09b2ANg%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.
0 Comments