[Mabadiliko] Kuna Nini Leo Ifikapo Saa Nane Na Nusu Kwa Saa Za Afrika Mashariki...

Sunday, March 23, 2014
Ndugu zangu,
Nina lundo la magazeti ya leo. Ifikapo saa nane na nusu kwa saa za hapa Iringa ( Afrika Mashariki) nitakuwa live ndani ya studio za KwanzaJamii redio kwa tafsiri ya habari kwa maana pia ya uchambuzi wa habari... atakuwepo pia mfuatialiaji wa masuala ya kisiasa na kijamii, Ndugu Seif Rashid na kijana Patrock Tenywa. Mie nitakuwa Mwenyekiti wa Mjadala... Usikose saa nzima ya uchambuzi wa habari....Sikiliza; Sikiliza Live midundo ya Kiafrika kutoka Kwanjajamii Radio.. http://www.ustream.tv/search?q=kwanzajamii

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la ‘Mabadiliko’.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
To view this discussion on the web visit https://groups.google.com/d/msgid/mabadilikotanzania/CAMD-ye5EeYJC5RFSE9xMEROuE7_Lg1G-FSNTiJoFGrwy4zWO8Q%40mail.gmail.com.
For more options, visit https://groups.google.com/d/optout.

Share this :

Related Posts

0 Comments