Hallo, Samahani Wakuu kuna marekebisho kwenye ile story ya Kampuni ya Bia ya Serengeti, niliyoituma kitambo leo. Ni kwamba lile Neno Kombe la Dunia litolewe kwenye kichwa cha habari na ibaki kama hivi; "Kampuni ya Bia ya Serengeti Kuwapeleka Watanzania Brazil". Wameomba neno Kombe la Dunia litolewe kwa kuwa kulitaja neno hilo bila idhini kwa wahusika linaweza kuleta shida.
-- Narudia tena samahani kwa usumbufu uliojitokeza na tusaidiane kufuta neno hilo 'kombe la Dunia'.
Asanteni na kazi njema..!
_______________________________________________________________________
Joachim Mushi, Mhariri Mkuu wa gazeti tando la Thehabari.com
Mail address:- mushi@thehabari.com/ jomushi79@yahoo.com/ info@thehabari.com
Mobile:- 0717 030066/ 0786 030066/ 0756 469470
Web:- www.thehabari.com
http://joemushi.blogspot.com
Joachim Mushi, Mhariri Mkuu wa gazeti tando la Thehabari.com
Mail address:- mushi@thehabari.com/ jomushi79@yahoo.com/ info@thehabari.com
Mobile:- 0717 030066/ 0786 030066/ 0756 469470
Web:- www.thehabari.com
http://joemushi.blogspot.com
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments