[wanabidii] MWANDISHI WA HABARI MAGRET CHAMBILI AMELAZWA

Monday, February 24, 2014
Wapendwa

Mwandishi wa Habari Mwandamizi, Magret Chambili amelazwa kwenye hospitali ya taifa Muhimbili, kitengo cha MOI kutokana na tatizo la mshipa sehemu ya kichwani.

Niliongea naye mwishoni mwa wiki kwa njia ya simu, akaniambia kwamba anatarajia kupelekwa India wakati wowote. Anayejisikia kuwasiliana naye na kumpa pole anaweza kumpigia kupitia namba 0754276191.

Tumuombee apone haraka.


Share this :

Related Posts

0 Comments