Mgomo wa wafanyabiashara Iringa
Baadhi ya maduka yakiwa yamefungwa eneo la Miyomboni mjini Iringa....
WAFANYABISHARA wa maduka katika manispaa ya Iringa, mkoani hapa wamegoma kufungua maduka yao kwa lengo la kupinga mashine za kutolea risiti za elektroniki (EFD.
Mwitikio imeshuhudia maduka yote kufungwa, huku baadhi ya wafanyabiashara wakijikusanya makundi na wengine kuzunguka huku na kule kuhamasisha, biashara zote zifungwe, kwa madai kuwa hawazitaki mashine hizo kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo tozo la asimia 18.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments