Mahakama imeamua kamati kuu iendelee baada ya Zitto kuweka pingamizi kuzuia Kamati Kuu Kesho
Pia Mahakama imeamua kuwa mashtaka dhidi ya viongozi waliovuliwa madaraka ambao wana mashtaka Dr.Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba yaendelee kujadiliwa Kesho na kamati kuu bila kizuizi chochote
Aidha,Kesho Mahakama itatoa uamuzi juu ya pingamizi lililowekwa na Zitto Kabwe kwa kamati kuu kujadili suala lake.
-- Pia Mahakama imeamua kuwa mashtaka dhidi ya viongozi waliovuliwa madaraka ambao wana mashtaka Dr.Kitila Mkumbo na Samson Mwigamba yaendelee kujadiliwa Kesho na kamati kuu bila kizuizi chochote
Aidha,Kesho Mahakama itatoa uamuzi juu ya pingamizi lililowekwa na Zitto Kabwe kwa kamati kuu kujadili suala lake.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments