[wanabidii] Waziri wa Fedha Dr. Mgimwa Kakutoka?

Wednesday, January 01, 2014
Wanabidii,

Kufuatana na Simu na Redio mbao, kuna taarifa kuwa Waziri wa Fedha Dr. Mgimwa katutoka. Kuna ukweli au ?

Tunaomba taarifa kwa walizo nazo.

Herment A. Mrema

Share this :

Related Posts

0 Comments