[wanabidii] SHAURI LA ZITTO KABWE KUTOKA MAHAKAMA KUU - MMOJA AZIMIA KWA KUPIGO

Tuesday, January 07, 2014
Kesi ndio imeanzwa kusikilizwa ndani ya mahakama,watu ni wengi sana,vijana wa chadema wapigwa ngumi na mmoja kuzimia na wafuasi wa zito kabwe,

Kesi inaendelea vizuri sana,na bwana zito anaelekea kushinda,

Nawaona kwa mbali kina mbowe,mnyika,lisu,wanatoa miwani na kujifuta jasho,

Ulinzi ni mkali sana,na wakili wa zito watu wanamsifia ni kijana msomi na mwenye kujua mitego NA KUITEGUA,

ZITO ANAKUBALIKA,WATU WAMEVAA FULANA ZINAZOSEMA ZITO KWANZA CHAGADEMA BAADAE,

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Share this :

Related Posts

0 Comments