[wanabidii] Ripoti ya CAG yamg'oa Meya Bukoba

Friday, January 17, 2014
Habari za uhakika Meya wa Manispaa ya Bukoba, Dk. Anatory Amani amejiuzulu leo baada ya ripoti ya CAG aliyoisoma kwenye Ukumbi wa Bukoba Town Council muda mfupi uliopita.

Tuhuma zote za matumizi mabaya ya madaraka zinazoelekea kwenye ubadhirifu zimethibitika na dola imeelekezwa kuchukua hatua za kisheria dhidi ya Meya zichukuliwe.

Balile
Sent from my BlackBerry® smartphone on the Tigo Tanzania Network

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments