[wanabidii] Lowassa jembe la maendeleo

Friday, January 17, 2014
Bandugu mh msindai  amekaririwa jana na vyombo vya habari vya hapa akikwepa kumpigia debe mh Edward Nguyai Lowassa kua ni mgombea mtarajiwa na atakaepita kuwa rais...ni kweli hajatangaza bado, na ni kweli kua ni jembe la maenedeleo sote tunalijua hili
amemsifia na ukweli wa kitathimini ukisoma vzr magazet ni kwamba moyoni mwake msindai anaogopa tu kuwa zittolized, kua anamsupport mtu ilhali muda wa kufanya hvo bado,laskini moyoni akiulizwa nani angependa awe rais angesema kwa kura zote mpeni lowassaaaaaaa, kama wengi wanavyotaka.
So jamani jembe hiloooooo, 2015 hiyooo na wasiopenda watakuja kuipenda tuuuuuu
nawasilisha

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments