[wanabidii] RASIMU YA PILI YA KATIBA NA WAJIBU WA KULINDA MUUNGANO

Friday, January 10, 2014
Ibara ya 69 ya rasimu ya pili inavyohakikisha muungano unadumishwa kwa karne nyingi zijazo.

69 (1) bila ya kuathiri wajibu wa kila raiya kwa mujibu wa katiba hii, viongozi wakuu wenye mamlaka ya utendaji katika jamhuri ya muungano waliotajwa katika ibara ndogo ya (3) watawajibika, kila mmoja wao katika kutekeleza madaraka waliyopewa kwa mujibu wa katiba hii au katiba za nchi washirika kuhakikisha kuwa analinda, kuimarisha na kudumisha muungano.
(2)Kwa madhumuni ya masharti ya ibara ndogo ya (1), kila mmojawapo wa viongozi wakuu waliotajwa katika ibara ndogo ya (3) kabla ya kushika madaraka yake ataapa kuutetea na kuudumisha muungano kwa mujibu wa katiba hii.
(3)viongozo wakuu wanaohusika na masharti ya ibara hii ni:
(a)Rais wa jamhuri ya muungano.
(b)Makamu wa rais wa jamhuri ya muungano
(c)Rais wa Tanganyika
(d)Rais wa Zanzibar

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments