[wanabidii] NANI ANSTAHILI KUWA MWANASIASA BORA WA MWAKA

Wednesday, January 15, 2014
Zitto Kabwe anastahili kuwa mwasiasa bora wa mwaka. Bila kujali kama amefanya makosa katika chama chake au la, maelfu ya wa-Tanzania wanamuona ni miongoni wa viongozi vijana ambao wanaweza kuleta mabadiliko mengi nchini. Hujuma alizo tuhunikiwa ni nzito sana, lakini pamoja na hivyo hajavunja tamaa kutoshirikiana na wanaomtuhumu ili kuleta mabadiliko nchini kisiasa na hata kiuchumi, kitu ambacho wananchi wengi wanasubiri.

Mtanganyika

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments