[wanabidii] Jinsi ya kuitambua asali halisi na bandia

Saturday, January 11, 2014
Asali ina umuhimu mkubwa sana katika mwili wa binaadamu, lakini watu wengi wamekuwa wakiuziwa asali isiyofaa. 

Sehemu nyingi hasa Kariakoo, wafanyabiashara wanauza asali ambayo haina ubora kwa kuchanganya maji na sukari guru. 

Njia za kutambua asali halisi:

  1. Chukua njiti ya kibiriti kisha ichovye sehemu yenye baruti kwenye asali unayotaka kuinunua, kisha iwashe njiti hiyo kwa kutumia kibiriti chako, ikiwaka, hiyo ni asali kweli/halisi. 

  2. Dondosha asali kwenye mchanga, ukiona sehemu ya mchanga iliyolowana inajikusanya pamoja, hiyo nii asali halisi. 

  3. Chukua karatasi jeupe, dondoshea asali njia juu yake, kama ikichelewa kutokea upande wa pili,  hiyo asali halisi. 

  4. Kuimwaga kidogo katika kiganja cha mkono, ukiona tone la mwisho linabakia kwenye chupa kuja mkononi, hiyo ni asali nzuri. 

Pia wengine huangalia kama ikiwa kwenye chupa huwa inatengeneza alama yenye mfano wa korosho. 

Nadhani hutaibiwa tena kwa kuuziwa asali bandia.

Kwa dondoo na taarifa zaidi kuhusu asali, tembelea: fanoproducts.blogspot.com

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments