Jengo la Derm Complex ambalo ndio Makao Makuu ya Kampuni ya TIGO (Millicom International) maeneo ya Makumbusho limepata mtikisiko uliosabababisha mpasuko hususan ghorofa ya tatu.
¤Kutokana na hilo, wafanyakazi wote wa TIGO waliombwa waondoke kwenye jengo (to evacuate). Wameambiwa waende nyumbani au waende kwenye ofisi nyinginezo ndogo za TIGO kama ile Tegeta, Sinza, Kariakoo etc.
¤Haijajulikana chanzo cha mtikisiko na crack iliyotokea. Kuna ma-engineer majengo wameitwa kuja kuangalia kama jengo bado linafaa kwa matumizi ya kimakazi au kiofisi.
-- ¤Kutokana na hilo, wafanyakazi wote wa TIGO waliombwa waondoke kwenye jengo (to evacuate). Wameambiwa waende nyumbani au waende kwenye ofisi nyinginezo ndogo za TIGO kama ile Tegeta, Sinza, Kariakoo etc.
¤Haijajulikana chanzo cha mtikisiko na crack iliyotokea. Kuna ma-engineer majengo wameitwa kuja kuangalia kama jengo bado linafaa kwa matumizi ya kimakazi au kiofisi.
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments