[wanabidii] cheap cheap nyumba for you

Monday, December 16, 2013
jamani sitanii hii habari nayowaambia hapa ni kweli soma uniambie
Kuna nyumba zinauzwa kali sana na kwa bei ya kutupwa....m 25 tu nyumba self ya kisasa 3 rooms moja self na eneo ni 2o kwa 25 ...ipo mbezi luis bara bara ya zamani nyuma ya stend mpya ya magari..dala dala....m 25 tu, muuzaji anauza haraka amebanwa na madeni, nyumba haidaiwe, imekamilika asilimia 90

Nyingine ipo njia ya msakuzi nusu km toka mbezi luis nayo inauzwa m 55, lijumba la kisasa 4 rooms sebula nk nk ipo hatua za mwisho kukamilika kama asilimia 90

ya tatu ipo m 30 maeneo ya prof mpangala kimara suka ina eneo zuri tu bei ndio mil 30 tu. zipo za mil 35 kibao, 120 m . m 200 na kuendela maeneo mbali mbali pia waweza kutoa oda ukatafutiwa na vijana wangu makini wanaofanya kaz kwa kiwango cha juu sana
tuna mashamba makubwa maeneo ya mkuranga kuanzia eka 5, 10 hadi mia moja bei ni maelewano tu, pia tunazo mashamba msata eka laki 3, kibaha nk

Gari aina ya coaster mayai yenye tlp ya kimara posta, iko ktk hali nzuri sna inatembea , inauzwa mili 14 tu.... zipo pia corala, pick ups na magari madogo used ..oda leo upate mali kwa njia rahisi na ya uhakika

call me mollel 0652 314181

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments