[Mabadiliko] Polisi Kuanzisha Operation Kwenye Mgodi North Mara Si Suluhisho

Monday, December 16, 2013

Nimeiona TBC. Kwamba Jeshi la Polisi limeanzisha operesheni ya kupambana na "wavamizi" katika mgodi wa Dhahabu wa North Mara Nyamongo Tarime. Askari toka ktk mikoa ya Simiyu Mwanza Shy Mara watamwagwa huko kupambana na waokota mawe yanayosadikiwa kuwa na dhahabu kandokando ya Mgodi huo. Je, hili ni suluhisho? Jadili

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
MUHIMU KWA WANACHAMA WOTE: Jukwaa hili litafungwa hivi karibuni hivyo hii ni taarifa ya Mwisho kwako kuhakikisha unajisajili www.mabadiliko.com
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments