Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete, amevitaka vyombo vya habari vya Tanzania kuonesha ukomavu katika kuisaidia nchi kujenga mahusiano na nchi nyingine badala ya kuandika na kutangaza habari za uhudisano kwa ushabiki na utiaji chumvi.
Wito huo wa Rais Kikwete unafuatia uandishi wa habari za mkutano kati ya Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa wa Tanzania Mheshimiwa Bernard Membe na Waziri wa Mambo ya N\!je wa Kenya, Mheshimiwa $Aina Mohammed uliofanyika jana, Jumapili, Novemba 10, mjini Dar es Salaam.

Kufuatia hatua hiyo muhimu na sahihi ya Kenya, baadhiya magazeti yaliyochapishwa leo nchini yametoka na vichwavya habari kama vile, "Kenya yaiangukia Tanzania" na "Kenya wasalimu amri", vichwa vya habari ambavyo havisemi ukweli, siyo sahihi na ni vya uchochezi na uzandiki.
Vichwa vya habari ambavyo haviitendei haki Tanzania wala Kenya. Rais Kikwete hakufurahishwa, na kwa hakika, amesikitishwa na vichwa hivyo vya habari.
Tanzania, kupitia hotuba ya Rais Kikwete Bungeni Alhamisi iliyopita ilitoa hoja za kuimarisha Jumuia ya Afrika Mashariki. Kenya imeelewa hoja hiyo ya Tanzania na imefanya uamuzi sahihi na wenye manufaa kwa Jumuia yetu.
Hivyo, ni wajibu wa vyombo vya habari nchini kuchangiakatika kuimarisha Jumuia badala ya kuandika habari zautengamano kwa namna ya ushabiki usiokuwa na maana nausio na mashiko.
Imetolewa na
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu
Dar es Salaam.

Source: http://www.wavuti.com/4/post/2013/11/uandishi-wa-vichwa-vya-habari-hasa-juu-ya-eac-wamkera-rais-kikwete.html#ixzz2kRy0yAN1
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments