[wanabidii] NYUMBA INAUZWA KINONDONI MOSCOW

Wednesday, November 06, 2013
Ndugu wanabidii, nyumba ya vyumba vinne (master, na vyuma vingine vitatu) katika nyumba ya mbele. pia kuna nyumba ya nyuma ina vyumba viwili, choo na bafu cha nje. Ina fensi yenye nafasi ya kuingia magari matatu. Na inakisima cha maji. pampu ya maji na ina umeme. Imeezekwa kwa bati. Bei ni maelewano. kwa muhitaji tuwasiliane 0783260886 au 0655260886 Mashaka

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Share this :

Related Posts

0 Comments