nadhani tunakosea sana tunapomlaumu Mulugo!
nadhani tunakosea sana tunapomlaumu JK kumteua Mulugo!
nadhani tunakosea sana kulaumu anayofanya Mulugo!
lakini tunasahau kuwa wananchi wa Songwe waliona huyo ndio the best! wakaona wampe Ubunge!
lakini tunasahau kuwa katika kila mkoa JK alijitahidi kubalance chance za uwaziri, huyo ni chaguo la Songwe
lakini tunasahau kuwa JK aliona huyo ndio the best kuliko wote! katika hiyo nafasi ya unaibu waziri!
lakini tunasahau kuwa JK alishasema Urais hauna Ubia, kwahiyo ni vyema asikosolewe teuzi zake!
Kiongozi ni kioo cha jamii!
kioo maana yake anaakisi uhalisia
Mulugo anaakisi namna watanzania wengi walivyo.
alivyo Mulugo ndivyo walivyo wanasiasa wengi
alivyo Mulugo ndivyo walivyo watanzania wengi.
Muacheni Mulugo afanye kazi!
--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit
https://groups.google.com/groups/opt_out.
Share this :
0 Comments