[wanabidii] Ni lini mara ya mwisho umemwambia mkeo "unampenda"?

Monday, November 04, 2013
Wanaume walikuwa kwenye semina. Waliulizwa; mara ya mwisho kumwambia mkeo unampenda ni lini?
 
Wengine walisema leo asubuhi, wengine muda sio mrefu.
 
Muwezeshaji akawaambia kila mmoja sasa hivi amwandikie mkewe ujumbe mfupi kwa simu "sms" amwambie nakupenda mke wangu halafu wabadilishane simu kila mmoja asome majibu ya mwenzake.
 
Majibu yalikuwa hivi:
1. Unaota au?
2. Umekumbwa na nn?
3. Makubwa!
4. Utanieleza hii sms ulikuwa unamtumia nani...
5. Leo sikusamehi najua kuna kitu.
6. Huyo ulienae ndo kakwambia unitumie hii sms?
7. Najua tu tayari kuna kitu umeharibu.
8. Wewe sema unachotaka.
9. Leo hunipati ng'o!
10. Nani mwenzangu?
 
TAFAKARI!

--
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
 
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Share this :

Related Posts

0 Comments