Ndugu Wanabidii,
Naomba kutanguluza shukrani zangu za dhati baada ya kupata nafasi yakujiunga na kundi hili kwani nimepata taarifa nyingi na nimejifunza na ninaendelea kujifunza.
Hapa naomba msaada kwa wanakundi hili wenzangi kunisaidia kupata kupata nafasi ya kazi ya IT(Information Technology), EFD/TRA Machine na Graphics Design.
Elimu yangu ni Computer and Information Technology na uzoefua wa miaka 5.
Nimeongeza:
CCNA
IT Essential I and II
Graphics Design Advanced
Web Design
Electronic Fiscal Device
Asanteni
Regard,
R Khamis
+255 718 265 427
+255 755 149 247
R Khamis
+255 718 265 427
+255 755 149 247
0 Comments