Maandamano ya tare 10/10/2013 yaliyopangwa na muungano wa vyama vya
CUF, NCCR na CDM pale jangwani sasa yameingia mvutano wa ndani kwa
ndani. Viongozi wa nccr na cuf wamesema haina haja ya maandamano siku
hiyo, ni bora tuendelee kuitisha mikutano ya kuwaelimisha watz juu ya
mapungufu ya rasimu ya katiba. pia wamesema maandamano yale
aliyatangaza Mbowe peke yake pale jukwaani huku wao wakiwa wamekaa,
wakati wana nyazifa sawa kwenye vyama vyao, "ilitakiwa tusimame wote
pale mbele tukubaliane kuliko yeye kuhodhi mkutano" hayo ni moja ya
maneno yaliyonaswa kwenye ikao vya siri. Kwa upande wa chadema wao
wanasema maandamano yapo pale pale nchi nzma kwani wana watu wengi
hata kama cuf na nccr hawatakuwepo.
Mtizamo wangu:
Namkumbuka ndugu Ludovick alisema sana lakini akasakamwa
weee......naombea isiwe kweli kwani kwa kweli itabidi mliomtuhumu Ludo
kwa kasi ile ile mje jukwaani na kuomba msamaha
--
Bariki G. Mwasaga,
P.O. Box 3021,
Dar es Salaam, Tanzania
+255 754 812 387
--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments