Wapendwa
Ukifuatilia vitabu vya historia za nchi mbali mbali mpaka unaona raha. Utakuta wameandika historia ya nchi yao tangu miaka hiyo (600 AD, 1200, 1300, n.k.)
Hapa kwetu sana sana historia tunayofundishwa shuleni ni ya miaka ya 1900s Enzi za kina TipuTipu, Mkwawa, n.k.
Kwa wenye kufahamu historia ya taifa letu "Tanganyika", tafadhari tupeni shulejapo kwa kifupi na sisi tupate kufahamu na tuje tuwahadithie watoto zetu.
Natanguliza shukrani.
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
KARIBU MABADILIKO MPYA: Jukwaa hii sasa linapatikana katika mwuonekano wa Kisasa: www.mabadiliko.com tafadhari tembelea na jisajili huko
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments