wimbi hili la watanzania kuhujumu nchi yao haliko kwa wananchi wa wa kawaida tu
taarifa mbalimbali za kuskitisha zinaonesha viongozi wengi na vigogo wa serikalindio wakoko mstari wa mbele
kiihujumumu nchi yetu,rasilimali zetu zinauzwa na kuporwa na wageni,imefikia hatua leo tunaambiwa hadi twiga
wetu nanasafirishwa nje kwa kisingizio cha kuibiwa wananchi wanayatazama hayo vijana wengi tulio mtaani na taaluma zetu bila kazi
tunaona jinsi wachcheb wanavonufaika wengine tunasota ndugu zangu nchi yeyote isiyo na usawa hasa kwenye kunufaika na rasilimali za taifa lake
uzalendo hutoweka,utawezaje kuwa mzalendo wa familia yako iwapo baba, mama, kaka na dada wote si wazalendo ni vigumu sana
0 Comments