Ndugu zangu ,
Kumetokea kutokuelewana kati ya Felix Mwema , Maurice Oduor , Faiza Hassan na Clement Oginga .
Napenda kusema yafuatayo kwa uhakika .
Felix Mwema ni mtanzania na ni mwanasayansi mara ya mwisho nilisikia anaishi katika nchi za asia sijui kwa sasa hivi yu wapi lakini ni mtanzania .
Maurice Oduor ni mkenya anaishi Kanada , Clement Oginga ni Mkenya pia anayeishi Kanada hawa wanafanana tofauti ni kwamba mmoja ni mtumiaji wa Kiswahili mwingine kiingereza .
Faiza Hassan ni mdada/mama mkenya anaishi Nairobi .
Kwahiyo naomba tusichanganye hawa watu na ni vizuri tuwe na uhakika pale ambapo tunasema kwa kujiamini kabisa eti Fulani ni Fulani wakati sio kweli .
Naomba tusameheane na tugange yajayo sisi sote ni ndugu , kama kukosa kila mtu amekosa siku Fulani katika maisha yake hata wewe unayejiona mkamilifu leo kesho unaweza kuwa mkosaji lakini utasamehewa na utapewa fursa nyingine tena ya kutimiza torati .
Find Jobs in Africa Jobs in Africa
International Job Opportunities International Job Opportunities
Jobs in Kenya Jobs in Kenya
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments