Ndugu zangu wanabidii nimeshangaa sana kuona ukimya unaotanda Mwarabu anapomwua Mwarabu mwenzie. Huko Misri Waarabu wameuana kwa mamia hakuna aliyeshtuka. Syria wameuana kwa maelfu tena mbaya zaidi wametumia kemikali lakini hakuna Mwarabu aliyelaani.
Ajabu Mmarekani akiua Mwarabu mmoja laana zinatoka kila kona zikiwemo zinazotoka humu jamvini. Inawezekana kuwa ni halali Mwarabu kumwua Mwarabu Mwenzie?
0 Comments