[wanabidii] Form IV leaver seeking college Admission

Wednesday, September 11, 2013

Waungwana;

Nina mwanangu ambaye alichelewa kupata “statement of results Form IV 2012” hivyo akachelewa kutuma maombi ya “certificate courses”

Katika vyuo mbalimbali.

Ana ‘C’ ya English, ‘F’ ya Maths na ‘D’ for the rest.

Ye yote mwenye fununu ya vyuo ambavyo bado vinapokea maombi, tafadhali nijulishe.

 

Rgds

------------------------------

Marcus Falinzungu

Mob: +255 754 929460

             +255 655 929460

-----------------------------

.

Share this :

Related Posts

0 Comments