Ndugu wapendwa sana!Poleni kwa CHANGAMOTO katika MADADILIKO.Na nina wasalimia kwa Lugha ya nyumbani hukooo,MURAKABHEHOOOO.Jueni kuwa nimesalinia kwa HESHIMA ya JUUUUUU.Napenda kuomba UKARIBISHO wa akina Sheila na wenzake ambao walinimiss sana.Kitabu kilibana cha huku ughaibuni,ila NINAWAKUMBUKA SANA,na pia nafurahia MIJADALA japo sikuwa nachangia mijadala hiyo.
-- Pia,natoa pole kwa JOSEPH LUDOVICK RWEZAHURA(Mwana wo Muka) kwa yaliyotokea;hayo ni maisha;..ANZA UPYA na uko pamoja na URSTOOF...(Kwa JOSE tu,kama yuko humu bado Unafahamu nina maanisha nini..!!!! 0
Nilikuwa TZA tangu Julai hadi August,ila sikutaka kuwasumbua maana tungeingia kwenye mikakati ya Katiba wakati bado shule inadai.
Nazidi kuwapongeza hasa hasa kwa jinsi bado JUKWAA lilivyo hai.
Mwisho naomba kujua je,MNANIKARIBISHA au ndo HAMTAKI michango yangu???????
Natambua wazi kuwa jukwaa la WANABIDII kwa sababu ya rafiki yangu CHAMBI CHACHAGE waliisha nitoa kabisa.Ila ninampango wa KUMSURPRISE Chambi kwa kutumia vitu vifuatavyo.
1.Namba ya simu yangu.
2.Kumtumia Skype yangu
3.Kumtembelea Live huko aliko na atafurahi kumuona mtu kama mimi.
NAZIDI KUWAPA HEKO ZA KUDUMU KATIKA JUKWAAA.
HONGERAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments