Wandugu,
Nikiwa pembeni ya mkutanowa Bunge unaoendelea hapa Dodomanimeshuhudia mijadalamingiya ndaniya vyamanawadaumbalimbali kujadiliMuswadawa Marekebisho ya Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, na kuwa imepelekea kama mlivyoona TBCCM1 wabunge wa CUF na CHADEMA na NCCR kususia kikaocha Bunge.
Katika hatua nyengine, wabunge kadhaa wamekuwa wakiapiza kuivunja kujitoa kwenye muungano au ushirikiano na CCM huko Zenji. Hali ni mbaya hapa na hakuna kinachoelezeka moja kwa moja.
Marc6
0 Comments