[Mabadiliko] Profesa Wa Uturuki Na Kinyago Alichopewa Zawadi Na JK...!

Saturday, September 21, 2013


Na Maggid Mjengwa,

Ndugu zangu,

Ni Prof. Dr. Serif Ali Tekalan, ( Pichani). Ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Fatih, Istanbul, Uturuki. Majuma mawili yaliyopita nilipata bahati ya kufika Chuo Kikuu cha Fatih.
Ni moja ya vyuo vinyoheshimika sana Uturuki na Kimataifa. Tulipokuwa kwenye mazungumzo na Profesa Tekelan, akatwambia; kuwa amepata kuwa mwenyeji wa Rais Jakaya Kikwete alipotembelea chuoni kwake mwaka 2010.

Profesa akasimama na kwenda kwenye kona ya ofisi yake;

" Angalieni hapa, hiki ni kinyago nilichopewa zawadi na Mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete wa Tanzania!"

Na nyayo za JK zinaonekana chuoni hapo. Hata kwenye audio presentation ya chuo hicho kuna soma zaidi...http://www.mjengwablog.com/siasa/item/5712-profesa-wa-uturuki-na-kinyago-alichopewa-zawadi-na-jk.html#.Uj1f_D_zhUw

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
 
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Share this :

Related Posts

0 Comments