Katika kufuatilia historia ya Zanzibar nimekutana na vyanzo vya habari vinavyoonyesha kwamba John Okello ndiye alikuwa kiongozi mkuu wa mapinduzi. Inasemekana wakati wa mapinduzi hayati Abeid Karume na A. Babu walikuwa Tanganyika na hawakujua chochote kuhusu mpango wa mapinduzi.
Pia, inasemekana kwamba huyu John Okello alifukuzwa nchini mara baada ya mapinduzi yale.
Swali: kwanini katika historia tunayofundishwa shuleni huyu John Okello hajulikani? Kulikuwa na sababu gani za kufukuzwa kwake? Je Okello alikosea kuwapa madaraka karume na Babu? Ingekuwa vipi kama yeye Okello angelikuwa Rais wa Zanzibar?
Inasemekana kuna kitabu cha mapinduzi ya Zanzibar kilichondikwa na John Okello (pia kinaelezea alivyofukuzwa nchini); Nakala zake "ngumu" zinapatikana wapi?
The Zanzibar Revolution & Genocide 1964 http://www.youtube.com/watch?v=xFdfDBJge2M
Zanzibar Revolution http://en.wikipedia.org/wiki/Zanzibar_Revolution
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forums" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments