[Mabadiliko] Fwd: [Wanazuoni] TAHADHARI - FELIX MWEMA SIO MAURICE ODUOR / CLEMENT OGINGA

Thursday, September 26, 2013
---------- Forwarded message ----------
From: Yona Maro <oldmoshi@gmail.com>
Date: 2013/9/22
Subject: [Wanazuoni] TAHADHARI - FELIX MWEMA SIO MAURICE ODUOR / CLEMENT OGINGA
To: wanabidii <wanabidii@googlegroups.com>, Wanazuoni <wanazuoni@yahoogroups.com>
 

Ndugu zangu ,

Kumetokea kutokuelewana kati ya Felix Mwema , Maurice Oduor , Faiza Hassan na Clement Oginga .

Napenda kusema yafuatayo kwa uhakika .

Felix Mwema ni mtanzania na ni mwanasayansi mara ya mwisho nilisikia anaishi katika nchi za asia sijui kwa sasa hivi yu wapi lakini ni mtanzania .

Maurice Oduor ni mkenya anaishi Kanada , Clement Oginga ni Mkenya pia anayeishi Kanada hawa wanafanana tofauti ni kwamba mmoja ni mtumiaji wa Kiswahili mwingine kiingereza .

Faiza Hassan ni mdada/mama mkenya anaishi Nairobi .

Kwahiyo naomba tusichanganye hawa watu na ni vizuri tuwe na uhakika pale ambapo tunasema kwa kujiamini kabisa eti Fulani ni Fulani wakati sio kweli .
Naomba tusameheane na tugange yajayo sisi sote ni ndugu , kama kukosa kila mtu amekosa siku Fulani katika maisha yake hata wewe unayejiona mkamilifu leo kesho unaweza kuwa mkosaji lakini utasamehewa na utapewa fursa nyingine tena ya kutimiza torati .


--
Find Jobs in Africa Jobs in Africa
International Job Opportunities International Job Opportunities
Jobs in Kenya Jobs in Kenya

__._,_.___
Reply via web post Reply to sender Reply to group Start a New Topic Messages in this topic (1)
Recent Activity:
.

__,_._,___

--
Unapokea Email hizi kwa sababu umejiunga na Jukwaa la 'Mabadiliko'.
Kuchangia mada tuma kwenye Email hii: mabadilikotanzania@googlegroups.com
 
Kujiondoa Tuma Email kwenda; mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com
Utapokea Email ya kudhibitisha kujiondoa kwako.
 
TEMBELEA Facebook yetu:
http://www.facebook.com/MabadilikoForums?ref=hl
 
For more options, visit this group at:
http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania?hl=en?hl=en
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Mabadiliko Forum" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to mabadilikotanzania+unsubscribe@googlegroups.com.
To post to this group, send email to mabadilikotanzania@googlegroups.com.
Visit this group at http://groups.google.com/group/mabadilikotanzania.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Share this :

Related Posts

0 Comments