Imeandikwa na Eleuteri Mangi — Serikali imeanzisha mkakati wa kutokomeza wimbi la tatizo la dawa za kulevya nchini kwa kudhibiti viwanja vya ndege na sehemu mbalimbali za mipakani zinazotuhumiwa kupitisha dawa za kulevya.
Hayo yamesemwa na Msemaji Mkuu wa Serikali ambaye ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari MAELEZO Assah Mwambene leo jijini Dar es salaam alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Idara hiyo: "Kwa yeyote aliyekuwa anafikiria kufanya biashara ya dawa za kulevya ajue muda wake umekwisha" alisema Mwambene.
Mwambene alisema kuwa tatizo hili litakuwa historia kwani ulinzi umeimarishwa, hivyo ametoa rai kwa

mtu yeyote mwenye nia ya kufanya biashara hiyo aache mara moja.
Mkurugenzi huyo alisisitiza kuwa Serikali imeweka jitihada kubwa ya kutoa elimu kwa watumiaji na waathirika wa dawa za kuelevya ili waweze kubadili tabia zao za kutumia dawa hizo na kuwa watu wema katika jamii.

BAADHI YA KESI ZA DAWA ZA KULEVYA
ZILIZOTOLEWA HUKUMU NA MAHAKAMA KUU
NA WATUHUMIWA KUFUNGWA
MAHABUSU WENYE KESI ZA DAWA ZA KULEVYA
GEREZA SEGEREA, WANAWAKE
Source: http://www.wavuti.com/4/post/2013/08/takwimu-za-serikali-za-mahabusu-wahukumiwa-wa-kesi-za-dawa-za-kulevya.html#ixzz2cWgb8G8n
Send Emails to wanabidii@googlegroups.com
Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma
Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.
---
You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.
0 Comments