[wanabidii] Mtandao wa Jinsia Ianzania Wafanya Mazungumzo na Wahariri wa Habari

Thursday, August 29, 2013
[caption id="attachment_36953" align="aligncenter" width="640"] Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Bi. Usu Mallya (wa kwanza kushoto) akizungumza na wahariri kutoka vyombo mbalimbali vya habari katika mkutano na wahabari hao leo kwenye ofisi za mtandao huo Mabibo jijini Dar es Salaam.[/caption]

[caption id="attachment_36954" align="aligncenter" width="640"] Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Bi. Usu Mallya (wa pili kulia) akizungumza na wahariri kutoka vyombo mbalimbali vya habari. Alioambatana nao ni viongozi anuai, watendaji na baadhi ya wanachama wa TGNP. katika mkutano na wahabari.[/caption]

[caption id="attachment_36955" align="aligncenter" width="640"] Sehemu ya jopo la viongozi na wanachama wa TGNP wakiorodhesha maswali ya wahariri (habapo pichani) kabla ya kuanza kuyatolea majibu kwenye mkutano huo leo.[/caption]

[caption id="attachment_36960" align="aligncenter" width="640"] Meneja wa Idara ya Habari na Mawasilino TGNP, Lilian Liundi (wa pili kushoto) akifafanua jambo katika mkutano na wahariri[/caption]

[caption id="attachment_36950" align="aligncenter" width="640"] Baadhi ya wahariri kutoka vyombo anuai vya habari jijini Dar es Salaam wakiwa katika mkutano na TGNP[/caption]

[caption id="attachment_36959" align="aligncenter" width="640"] Baadhi ya wahariri kutoka vyombo anuai vya habari jijini Dar es Salaam wakiwa katika mkutano na TGNP[/caption]

[caption id="attachment_36962" align="aligncenter" width="640"] Baadhi ya wahariri wakifuatilia mkutano huo na viongozi, watendaji na wanachama wa TGNP.  [/caption]

Katika mkutano huo na wahariri TGNP imeainisha baadhi ya mafanikio na changamoto ambazo mtandao huo umezipata, ikiwa mbioni kufanya tamasha la mwaka huu ambalo litafanyika Septemba 3 hadi 6 2013, Katika viwanja vya TGNP Mabibo.

TGNP inatarajia kutumia Tamasha la Jinsia kuwapa wanawake fursa ya kushiriki mijadala ya wazi na kupaaza sauti zao, tamasha hili litashirikisha wanawake, wanaume, Vijana na watoto zaidi ya 5000 kutoka mikoa yote ya Tanzania na nchi mbalimbali za Afrika, Ulaya na Amerika.

TGNP imebainisha kuwa kupitia Tamasha hilo, wanawake na wanaume wanaoshiriki wanapata fursa ya kujijengea uwezo wa kutumia mbinu za kiraghibishi katika, uchambuzi wa sera , bajeti ya kijinsia, kujadili kwa pamoja na watendaji wa serikali kuu na za mitaa walioalikwa namna bora ya utoaji huduma ambazo zitamfikia kila mwananchi.

Pamoja na mijadala hiyo ya wazi, kutakuwa na mahakama ya wananchi (Popular tribunal) itakayoendeshwa na Chama cha Majaji Wanawake (TAWJA), watunga sera, wanasheria, wanaharakati waliobobea kwenye masuala ya Kisheria na wananchi walioathiriwa na mfumo kandamizi na kukosa msaada wa kisheria au kuathika na hukumu zilizotolewa. Aidha siku inayofuata kutakuwepo na Bunge la wananchi ambalo litaongozwa na wanazuoni na wataalamu wa sheria na wananchi wote watapata fursa ya kushiriki kikamilifu.

Mijadala mingine italenga katika masual ya haki ya uchumi kwenye upatikanaji wa huduma za msingi za jamii kama maji, afya, elimu, miundombinu na haki ya jamii katika umiliki wa rasilimali ardhi. Aidha suala la Katiba mpya litapewa kipaumbele katyika mijadala itakayopfanyika ikiwepo kuendelea kudai ushiriki ulio sawia katika fursa na michakato iliyosalia kufikia kupata katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Joachim Mushi, Mhariri Mkuu wa gazeti tando la Thehabari.com
Mail address:- mushi@thehabari.com/ jomushi79@yahoo.com/ info@thehabari.com
Mobile:- 0717 030066/ 0786 030066/ 0756 469470
Web:- www.thehabari.com
http://joemushi.blogspot.com

Send Emails to wanabidii@googlegroups.com

Kujiondoa Tuma Email kwenda
wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com Utapata Email ya kudhibitisha ukishatuma

Disclaimer:
Everyone posting to this Forum bears the sole responsibility for any legal consequences of his or her postings, and hence statements and facts must be presented responsibly. Your continued membership signifies that you agree to this disclaimer and pledge to abide by our Rules and Guidelines.

You received this message because you are subscribed to the Google Groups "Wanabidii" group.
To unsubscribe from this group and stop receiving emails from it, send an email to wanabidii+unsubscribe@googlegroups.com.
For more options, visit https://groups.google.com/groups/opt_out.

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments