[wanabidii] Manipal Hospital

Tuesday, August 27, 2013
Manipal hospitals.

Miongoni mwa hospital bora India  iliyopo mji wa Bangalore yenye madaktari bingwa duniani.
Hospitali inavifaa vya kutosha na vyenye uwezo wa hali ya juu,yenye kutibu maradhi yote.

Hospitali ina malazi ya hadhi  zote,yaani kuanzia nzuri hadi hafifu.Pia Kuna package mbalimbali kwa ajili ya kuangalia mwili wote,kupima afya na matibabu maalum kwa wagonjwa wa kimataifa.

Hapa Tanzania tutakusaidia kupata visa na kujua gharama za matibabu kutokana na unavyoumwa, pia tutakuandalia sehemu ya malazi na utapokelewa utakapofika India.

"Manipal hospital is among the ten best multi specialist hospitals in India".
Wasiliana na nasi kupitia:

0655492431 au
aahmeda50@hotmail.com

Sent from my Windows Phone

Share this :

Previous
Next Post »
0 Comments